Naomba watu wenye ushauri wa busara wanisaidie hili, ni muhimu sana


mhhh ukae na mama mkwe na kuanza kumuhoji hayo maswali??aisee upo serious au??samahani lakini naomba kujua umelelewa africa au ??
 

unaishi dunia hii hii ninayoishi mimi au??
 
Nipo salama kabisa tunapambana
namshangaa jamaa hapo juu anaanza visingizio
Sijui huko Botswana kashaona mtu mwingine anatafuta visingizio vya kumuacha huyo dada

mkuu sijampata mtu yoyote huku sema wasi wasi wangu ndio ulikuwa unanitatiza anyway asanteni kwa mawazo yenu nitasonga mbele kwa hili
 
watu wanapenda kutafuta visivyoonekana kabisa, ona sasa umem-zoom sisimizi wee hadi umeanza kumuona tembo.

Haya ngoja akukimbize.

ni mawazo yako ila yamenifurahisha sana ila kumbuka kuwa ni lazima umjue binti alikotoka kuanzia kwenye ukoo wao hili ni muhimu mkuu.
 
pole sn mkuu hapo kinachokupa tabu unahisi wewe na father mtakua mmekula poli moja hapana hizo ni hisia tu wewe muoe huyu binti na utapata upendo mkubwa kutoka kwa mama mkwe na familia kwa ujumla.

mkuu hapo ndipo ilikuwa shida yangu maadam watu wamenipa ushauri wa busara nitaufanyia kazi mapema iwezekanavyo.
 

unawezaje kukaa na mama mkwe uanze kumuuliza story kama hizo? na mimi nimekaa kimya kama vile sijui maana naona nikimuuliza hayo ninaweza kuonekana sina heshima na vile vile mama yangu mzazi hajui yote haya nimemficha maana anaweza kuleta pingamizi kubwa na huyo mzee nimemuambia asizisambaze habari hizi.
 
hivi huyu UKI na manuu ni mtu mmoja? mbona avatar zinafanana? na nikiunga mistari napata picha tofauti sana.......mmh!

haya mimi nashauri hapa nikitoa mawazo kwamba wewe siyo manuu hivyo nashauri hivi kama nyumbani wzee wako wamekubali basi ujue huyo siyo haramu kwako.kwani hujazaliwa naye kwa mama ama baba mmoja. huyo wako waweza kumposa kabisa.

nirudi kwa wanaume na hasa wewe acheni tabia ya kuchakachua manake inakuja kuwacost watoto wenu utuuzimani. fanyeni uzinzi wenu kwa akili jamani.
 
Last edited by a moderator:


mkuu kwanza mimi sio manuu kama unavyofkiria mimi nimeleta tatizo langu nipate kushauriwa, pili sijakuelewa kusema tuache tabia ya kuchakachua hapo una maana gani mkuu? hivi kweli unaweza kuoa msichana kabla hujafanya nae mapenzi kweli? sidhani kama hii bado inatokea chini ya jua mkuu navyojua siku hizi lazima uangalie ni yupi atakaekufurahisha kote kote mapenzi na tabia so lazima ufanye research kwa vitendo bila hivyo mtakuja kujuta bure na ndoa zetu za kikristo ni ngumu sana kuachana no, so naomba usinihukumu kwa hilo mkuu. asante kwa mchango wako
 

mimi nimekushauri vzr tukuwa huyo si dada yako ila nimemalizia ka ushauri kwa wakaka /wababa wote you incluided kwamba msichakachue matokeo yake ndo kama haya unayoyapata wewe baba kalamba mashtuzini na wewe ukapenda hapo hapo. siui naeleweka ama?
 
mimi nimekushauri vzr tukuwa huyo si dada yako ila nimemalizia ka ushauri kwa wakaka /wababa wote you incluided kwamba msichakachue matokeo yake ndo kama haya unayoyapata wewe baba kalamba mashtuzini na wewe ukapenda hapo hapo. siui naeleweka ama?

mkuu hapo nimekuelewa ila kwa upande wangu imetokea tu nilikuwa sijakusudia kuchakachua the way unavyosema. duh unajua huwa siwaambii kabisa watu wangu wa karibu story hii maana nahisi watakuwa wananitania hivyo hivyo so its my secret kabisa binti ndio kabisaa kama vile kasahau
 

nisemapo kuchakachua namaanisha hata ukisha muoa huyu small house usiwe naazo zitakuja kuwacost wanao the same aisee. uko darasani ili kujifunza jinsi ya kuish uwalee wanao. wapo ambao wameoana ndugu kabisa na ili kuua undugu wanachijiwa sijui kondoo hii niliiona huko kwa wagogo nilichoka sana na ndio maana nasemaga ni bora uoe kabisa ili kuondoa utata b4 hamjazaa ama kuanza ku do.

hivi mkuu wafikir mathalan angekuwa ni mtoto wa dingi na ingekuwa mmesha tembea na kupata mimba ingekuwaje? shukuru hawa wazazi uliwashirikisha before going further na akakushauri accordingly.
 
Huyo sio dada yako, siri ya mtoto aijuae mama. Kama mama kafurahi na kawabariki ujue dingi ya hakucontribute hata robo mbegu hapo.
 
Rejeeni katika mila na desturi za kwenu,ila kama unautaka uzungu muoane tu maana hao jamaa siku hizi ni fasheni kuwaiga kila jambo.
 

Umebahatika kujua yale usiyopaswa kuyajua. Hii ni bahati kubwa ambayo wengi huwa hawaipati....... sasa cha kujiuliza hapo ni kuwa mzee alikimbia nini kwa huyo mama.......kwanini hakubinafsisha?
 
mkuu tumia akili sio lazima ukae naye wewe mwenyew, kwani huwezi kutumia watu wengine kufuatilia hilo kutoka kwake? acha hizo bwana..kila kitu kinawezekana mbona?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…