Njoo kwetu Gamboshi tukufundishe kazi mbalimbali za uganga.
Tunatoa elimu kuanzia ngazi ya cheti na kuendelea.
- Kozi zitolewazo ni kuchuwafanya watu wawe misukule
- Kutengeneza popobawa
- kutengeneza dawa za kuwafanya wezi wa wake za watu wanasiane
- tunafundisha mazindiko na matambiko mbalimbali
- kozi ya kutengeneza radi
- kozi ya kutengeneza bu..sha
- kozi ya kumgeuza mbaya wako awe demu na nyingine nyingi.
Karibu sana