Mkuu hiki tatizo la polyps mara nyingi huja kama dalili za cancer ya utumbo mkubwa (colon), nenda hospital kubwa karaha kwa vipimo zaidi.
Tatizo hili kuna wanao rithi huyo kwa kwenye genes pia kutokula vyakula vyenye fibre na umri ukisogea pia ni matatizo.
Ndugu yako ajizoeshe kula vyakula kama ugali wa dona, maharage, makande, mchicha. Matunda kama machungwa, mananasi, ma aple, mapears nk.