Kaka si unajua kazi za mlima zilivyongumu kila safari nikipanda nikishuka nampa pesa. Mara 50 au 20 haipungui chini ya hapo
Nampa alipie kodi ya pango anapoishi na matumizi kidogo kwa mwezi naenda safari 3
Nahisi ameniroga huyu dada mhata kwake hajawahi nipeleka alafu nilimpenda balaa
Mi nahudumia chakula nile chakula changu kihalali
Kumbe wahuni wao wanakulaga hata haramu hawawazi
Nimeshuka safari ya siku 5 nilipiga mawe mzungu yule hakuwa na baya. Nikamuita mchumba mahali tunapokutana nikamtoa na 100k nikaenda zangu kupumzika.
"Juzi kuna demu nilimpata mitaa ya majengo dah Mungu fundi ile pisi ni kali mzee utasema imeshushwa nikaona isiwe tabu nikagusa kaniambia ni pesa yako tu aah nikaona isiwe kesi nikampa ahadi akanipa namba majuzi ndo nilikuwa nae home nimemlipa 70k usiku 1 sikuwaza kabisa kutoa ile pesa nawaza nikipanda nikishuka nampa 150k akae siku 3 angalia picha zake ni pini"
Kutazama picha ni yule pisi ninayehudumia, kuwekeza pesa na muda nilichoka sikuamini nikajaribu kumtext na namba yangu nyingine kuongea biashara akajaa nusu saa 30, 70 usiku mzima usiku wenyewe ni kuanzia saa 5 mpaka saa 11 anaondoka yaani ndo wale kina Zungu ila hachezi rafu
Nilimfuata na kumuelezea yote amekiri ni biashara yake anafanya kujikimu aishi mjini
Anasema amenipenda na yuko tayari kuacha hiyo kazi nimuoe
Sijapata jibu mpaka sasa ni pisi ya heshima nishauri nifanyeje nikimuoa ataacha kweli ?
Leta story yako kijiwe cha wana turuke nayo
Abuuabdillah[emoji3578]
0744883353
0718569091