kutumia condom au kutokutumia sio sababu!! cha muhmu ni kukaa na mwenzio na kumweka wazi kuwa unataka mtoto ili mjipange na kuzaa kama mkikubaliana na Mungu akipenda maana unaweza taka mtoto wewe lakini usipate!!
wewe unachomaanisha unataka kumtegeshe bila yeye kujua na sikushauri ufanye hivyo si vyema kabisa kwa maisha ya sasa