Nenda duka la dawa, wambie wakupe dawa ya mba ya kupaka na ya kunywa ni dozi ya siku 30 kama sikosei kidonge kimoja wanauza 500.Zipo za kupaka nyingi ila kuna moja ina rangi ya kijani maji yake ipo kwenye kikopo mimi hiyo ndiyo naipendaga sa hapo utangalia wewe, wiki tu utaanza kuona matokeo.