Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Jul 18, 2017 #1 Habarini wanandugu, Nipo chuo fulani Hapa Tanzania Nasoma Civil Eng, sasa nataka Nihame kozi niende ualimu japo nina ufaulu mzuri kwenye kozi yangu with no sup ila najisikia sana kuwa na Hamu ya Kufundisha Physics! Nishaurini Vijana wangu
Habarini wanandugu, Nipo chuo fulani Hapa Tanzania Nasoma Civil Eng, sasa nataka Nihame kozi niende ualimu japo nina ufaulu mzuri kwenye kozi yangu with no sup ila najisikia sana kuwa na Hamu ya Kufundisha Physics! Nishaurini Vijana wangu
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,774 Reaction score 5,314 Jul 19, 2017 #2 Huna haja yakusoma wewe jina lako ni somo tosha ilo na picha yako nikitabu tosha
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Jul 19, 2017 Thread starter #3 cabo said: Huna haja yakusoma wewe jina lako ni somo tosha ilo na picha yako nikitabu tosha Click to expand... Hahaaha kivipi Mkuu!
cabo said: Huna haja yakusoma wewe jina lako ni somo tosha ilo na picha yako nikitabu tosha Click to expand... Hahaaha kivipi Mkuu!
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,774 Reaction score 5,314 Jul 19, 2017 #4 Kwanza huo uqlimu huwez fundisha mwanangu labda uko uko kwenye dunia yenu
chazdlamarck JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 256 Reaction score 95 Jul 19, 2017 #5 Duuh wengine tunaukimbia Sent using Jamii Forums mobile app