Joh Mascots
Member
- Feb 19, 2023
- 6
- 9
nilikwenda bro tena nilichaguliwa PGM but ile nakaribia kuingia six nilipata majanga nkaumwa nilikaa nje almost mwaka na mpaka kupona hali aikua nzuri nilishauriwa kutosoma vitu vikubwa kama hvo vinavyohtaji kutumia akili sana hvo nlikaa tena miezi sita kurud kama awali ndo apo ikabid nsikpuuzie nkajikusanya nkasoma iyo basic Technician Certificate ya information Technology ila ada ikakata sikuendelea kumaliza diploma thats where i am now natafuta kazi yoyote nijikimu kimaisha mambo yakiwa sawa ata baadae ntarud shule nimalize diploma ndo hvo kwa ufupiDogo kwanini hukwenda advance??
najitegemea mwenyw kaka hvo bila kibarua ata veta sitopata ya kulipa ada ndugu yanguKaka nenda veta kasomee ujuzi wa kujenga au plumbing
Hiyo tech ya computer TZ haitakusaidia kitu
Hata kazi hutapata humu
najitegemea mwenyw kaka hvo bila kibarua ata veta sitopata ya kulipa ada ndugu yangu
Weka namba nikupigieHabari wakuu,
Mimi nina umri miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne nilipata division 2 nina basic Technician Certificate in Computer science hivo naomba mweny kibarua tusaidiane kuinuana kazi yoyote nipo dar gongo la mboto asante natanguliza shukrani.
Sema computer pia ni dude zito kuliko hata hiyo PGM yenyewe!nilikwenda bro tena nilichaguliwa PGM but ile nakaribia kuingia six nilipata majanga nkaumwa nilikaa nje almost mwaka na mpaka kupona hali aikua nzuri nilishauriwa kutosoma vitu vikubwa kama hvo vinavyohtaji kutumia akili sana hvo nlikaa tena miezi sita kurud kama awali ndo apo ikabid nsikpuuzie nkajikusanya nkasoma iyo basic Technician Certificate ya information Technology ila ada ikakata sikuendelea kumaliza diploma thats where i am now natafuta kazi yoyote nijikimu kimaisha mambo yakiwa sawa ata baadae ntarud shule nimalize diploma ndo hvo kwa ufupi
Me bado sijauelewa huo ugonjwa ambao hautaki utumie akili nyingi za kusoma PGMSema computer pia ni dude zito kuliko hata hiyo PGM yenyewe!
Ukifamikiwa kufika hadi ngazi ya shahada utasadiki maneno yangu!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
0623180673Weka namba nikupigie
Nilionekana kua na dalili za brain tumor hivo kadri navoumiza kichwa ndivo inazid kukua so naenda nayo taratibu mkuuMe bado sijauelewa huo ugonjwa ambao hautaki utumie akili nyingi za kusoma PGM
shukran ntafatilia hilo kakaVeta kunakipindi wanatoa mafunzo bure,kwa kushilikiana na wafadhili embu jaribu kuwa karibu na page yao sikumbuki vigezo Ila form 4 unakuwepo
pole sanaNilionekana kua na dalili za brain tumor hivo kadri navoumiza kichwa ndivo inazid kukua so naenda nayo taratibu mkuu
Contact yako Mzee mbona hamna ?nilikwenda bro tena nilichaguliwa PGM but ile nakaribia kuingia six nilipata majanga nkaumwa nilikaa nje almost mwaka na mpaka kupona hali aikua nzuri nilishauriwa kutosoma vitu vikubwa kama hvo vinavyohtaji kutumia akili sana hvo nlikaa tena miezi sita kurud kama awali ndo apo ikabid nsikpuuzie nkajikusanya nkasoma iyo basic Technician Certificate ya information Technology ila ada ikakata sikuendelea kumaliza diploma thats where i am now natafuta kazi yoyote nijikimu kimaisha mambo yakiwa sawa ata baadae ntarud shule nimalize diploma ndo hvo kwa ufupi