musajohn58
Member
- Oct 28, 2014
- 34
- 8
tafuta maisha kijana wacha kuendekeza mapenzi mapenzi. Ndiyo maana huyo binti hataki ilo tendo na Amekwambia hana Muda wa kufanya mambo hayo.Nina mpenzi wangu msichana mzuri tu ambae anafanya kazi shule moja ya secondary ila mm sina kazi npo tu mtaani Nina komaa na kibishi, sasa kinachofanyika yule demu wangu ambae ni mpenzi wangu kabadilika kama wiki kazaa zilizopita, nikimtumia SMS hajibu kwa mda, nkimtumia SMS kwa WhatsApp baada ya mda itaonesha Derivering kuwa imesomwa lakin haijibiwi, mda mwingine nikimpigia simu hapokea, nmejaribu kumuuliza shida nn anasema Yuko bizy, kibaya zaidi nikimwomba game ananiambia hana mda wa kufanya hivyo, yaan ninampenda huyu bint ila inaniuma sana. Naomba ushauri wako nifanyaje!!
Kubabake walay... Ndio Maana mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele....
Nafanikiwa wanawake hawaniumizi hata punje.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Dah nahisi mama yako anaushauri kama wa bimkubwa wangu...uzuri ulishawekwa wazi kabisa kuwa wanawake wee kamatia pesa ugegede tuu.Ndio maana bi mkubwa alisisitiza nitafute pesa..... Warembo wanaomba wenyewe appointment ya kugegedwa...
Kubabake walay... Ndio Maana mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele....
Nafanikiwa wanawake hawaniumizi hata punje.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]