"wafiraji wote hawataurithi ufalme wa mbinguni'' ww fanya lkn ujue umekata tiket ya moja kwa moja kwenda kuzimu.
Mkuu mapenz yasikufanye ww kuwa kipofu. Kimbia huo uchafu
"wafiraji wote hawataurithi ufalme wa mbinguni'' ww fanya lkn ujue umekata tiket ya moja kwa moja kwenda kuzimu.
Mkuu mapenz yasikufanye ww kuwa kipofu. Kimbia huo uchafu
If I fail, if I succeed
At least I'll live as I believe
No matter what they take from me
They can't take away my dignity
Because the greatest love of all
Is happening to me
I found the greatest love of all
Inside of me
The greatest love of all
Is easy to achieve
Learning to love yourself
It is the greatest love of all
Endelea nae tu na fumuen marinda tu ila wakati wa kuzaa uwe nae labour ili uzibe na mkono wako hilo tundu. Achen akili za kishetan nyie watoto. Achana nae na jenga maisha yako. Unless otherwise nawe ni mwanachama wa mtandao pendwa.
Nb: dini zoe zimekataza
Acha utoto, kwa uzoefu wangu huyu dada anaweza kuwa ndiye mpenzi wako wa kwanza, kumbuka wanawake wapo, tafuta mwenye maadili ili usije pata laana ya bure
Kijana,maneno yako na umri wako inaonyesha umepata mafunzo mazuri yenye maaadili mema bila kujali itikadi za dini yako.mpe Mungu na wazazi/walezi wako heshima yao.pambania future yako ungali kijana achana na wakala wa shetani ambaye makao yao ni ziwa la moto.