Hii ni leseni haiusiani na tra anatakiwa aandika barua kwenda manispaa aliyoenda kuomba leseni lakini wao wataaminije kama kweli hukufanya biashara? Je Tra wana taarifa ya 0report ya mwaka Jana? Kama wanayo basi kaombe barua kutoka huko ipelekwe kwa manispaaAndika barua uwaeleze, ipeleke kwa Afisa wa TRA
Hii ni leseni haiusiani na tra anatakiwa aandika barua kwenda manispaa aliyoenda kuomba leseni lakini wao wataaminije kama kweli hukufanya biashara? Je Tra wana taarifa ya 0report ya mwaka Jana? Kama wanayo basi kaombe barua kutoka huko ipelekwe kwa manispaa
Nasikia kitambulisho hakiwahusu wenye milango nawala wenye tin number
Ongea na Afisa Biahara au msaidizi wake akwambie utaratibu wa kufuta hilo deni. Ukishasajiwa kama mlipa ada ya leseni ya biashara na bili ikaandaliwa, kila mwaka deni linaongozeka. Ni jukumu lako kutoa taarifa kama biashara haiendelei ili ufutwe kwenye mfumo wao upande wa ada hiyo ya leseni.Tafuta kitambulisho cha Magufuli mzee baba,zuga una mtaji wa kizushi tu.
Kuna watu mtaani wana milango na wana vitambulisho tu(unless maeneo ulipochukua hizo frame kodi ni kubwa/unafanya biz kubwa inayo onekana hata macho) hapo watazingua.
Huku mtaani mpk kuna mashine za kusaga kubwa tu watu wanatumia vitambulisho vya magu kama kawa.
Hio mambo ya TIN huhitaji kuwaambia chochote mkuu,kama unafukuzia hio ID.
Hahah duuh huyo kiboko.Kuna mtu ana lodge amechukua kitambilisho...
Mikoani noma tupuHahah duuh huyo kiboko.
Wamenikatalia mkuu wanasema nikitaka wanifute kwenye mfumo wao inabidi nilipe kwanza hilo deni ndio nifutweOngea na Afisa Biahara au msaidizi wake akwambie utaratibu wa kufuta hilo deni. Ukishasajiwa kama mlipa ada ya leseni ya biashara na bili ikaandaliwa, kila mwaka deni linaongozeka. Ni jukumu lako kutoa taarifa kama biashara haiendelei ili ufutwe kwenye mfumo wao upande wa ada hiyo ya leseni.
Kwa hiyo suala la kufuta, ni hao maafisa biashara, wakijiridhisha maelezo yako, watakwambia nini ufanye ili waweze kufuta.
Unakataa nini ss...?ndo nakuambia hvyo mmWewe nakataa!!
Wamenikatalia mkuu wanasema nikitaka wanifute kwenye mfumo wao inabidi nilipe kwanza hilo deni ndio nifutwe
Alipoingia magu..2016Ilikuwa mwaka gani?
Aisee!Duh Sawa bana, acha tu jumatatu nikawalipe hela zao maana wamenikaa kooni naleseni mpya wamegoma kunipatia mpaka deni lanyuma lilipwe.
Aisee!