Mtaji Kila mtandao ili ufanye kazi vizuri andaa angalau ml 1(1000000)
Bidhaa za kuchanganya ni maji soda juice nk
Faida utaipata endapo utapata eneo lenye mzunguko Wa watu wengi pia ukiwa na posi za bank utafaidi zaidi.
Changamoto ni pesa kupotea Kama anayekufanyia kazi hayupo makini.