Kwanza jua bidhaa zinazouzika sehemu uliyopo ukianzia na body lotions, mafuta ya nywele, deodorizers (sprays na roll ons/sticks), tembelea saluni mbili tatu ujue dawa gani wanatumia sana maeneo hayo.
Then ukipata list sasa uulize upatikanaje wake huko unakotaka kwenda kununua na bei ya huku vs ya kule. . . .si vibaya ukayembea maduka ya wenzako kuona kama list yako inaendana au kupishana na bidhaa zilizopo kwa kiasi gani