Sam pizzo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 910 Reaction score 625 Aug 5, 2014 #1 Nahitaji kununua internal hdd ya pc yangu imezingua hdd inakataa kuingia win yeyote baada ya kucrash.Ni Toshiba sat c850 f22u.NAOMBEN USHAURI NI HDD IP NZUR KUNUNUA.
Nahitaji kununua internal hdd ya pc yangu imezingua hdd inakataa kuingia win yeyote baada ya kucrash.Ni Toshiba sat c850 f22u.NAOMBEN USHAURI NI HDD IP NZUR KUNUNUA.
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Aug 5, 2014 #2 Unaweza ukanunua Hdd nyingine mambo yakawa ni yaleyale tu, cheki BIOS settings zako kwanza kabla haujafunga hiyo windows Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
Unaweza ukanunua Hdd nyingine mambo yakawa ni yaleyale tu, cheki BIOS settings zako kwanza kabla haujafunga hiyo windows Sent from my iPhone 4S using JamiiForums