Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
Jamani Wana Jf Mimi nimechaguliwa kwenda kusoma st josep degree corse ya computer science and engineering nilikuwa naipenda sana ila hivi karibuni nimepata mtazamo tofauti wa kimaslahi kwamba civil engineeri ndio yenye maslahi makubwa na uwanja mpana kuliko cse...lengo langu mimi ni kuwa best engineer mwenye mafanikio makubwa (financially) ndani ya muda mfupi even kabla ya kumaliza cozi yangu ili niweze kusaidia familia yangu na kufaidi matunda ya elimu yangu. kinachoniweka njia panda ni kitu kimoja nibadilishe coz from CSE to CIVIL au nibaki CSE???? naombeni ushauri wa kitaalam jamani ningependa zaidi kuwasikia wale waliofanya hizi corse na wanamafanikio katika maisha yao...i'll greatfull for positive ideas!!![/QUOTE
hi bro vp ulifanikiwa selection
mmmh billgates?? acha zako ww. mm ntakua teacher kama vp ila ajira ni pale pale u know God is great. thanx kwa mchango life ni kupambana pia hao wa chet, diploma na degree cjui master n.k hawanitish najua ni majaliwa tu ya mungu baba. mbona kuna mtu alimaliza law 2003 akaunganisha hapo hapo masterz saiv hana job but graduates wa juz tu bachelorn wapo job?comp, n kujiajr tu,sahau kuajiriwa ,civil ;kujiajr n kuajriwa . computer mpo weng sana kn w udsm,dit,ifm,sjuit wenyew,kiu, n kadhalka hapo kn diploma,certfcat nd mama ucseme wamejaa , laf koz zngne ambazo n related field km tele,IT,information system, n kadhalika but comp n koz 1 ambay mtu unawez ktngenez pesa sn ukiw n uwezo mkubwa kufkr yn mbunifu, unatakiw uwe n passion ,untengenez programu unique km mr.bill gates , but km unfkr kuajirw xm civil eng. "all de bst"