naomba updates za Vengu

nkisumuno

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
208
Reaction score
72
Ni muda mrefu niliskia kuwa Vengu amepelekwa India kutibiwa lakini mpaka sasa hakuna habari za kumhusu Kulikon? Mbona Masanja alichangisha pesa kwa Msanii mwingine lakini habari za Vengu kimya?
 
na za Sajuki!!!!maana wengine tunaskia yupo kwa mganga wa kienyeji baada ya kutoka India!!!!
 
Wote wapo samunge last wik ndo wamefika wanapga vikombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…