Naomba up date za Arumeru waungwana

Yasser5

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
207
Reaction score
17
Wana JF mwenye up date za arumeru tushehe uhodo tupia vitu hapa
 
wewe huna tv au redio chalii yangu?nani akutafunie umeze 2?nakutania subiri nisake nirushe mavituuz
 
Ahahahaha sas si unajua watu watu hm wanazo hata za china ya capte hata nyingne amabzo hazijapakuliwa kwenye tv na radio advantage hyo
 
nimekosa updates nikupe phone no. ya meneja kampeni ya chama kipi akupe udaku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…