Naomba ufafanuzi wa dawa aina ya amitriptyline

Mwaka juzi nilizitumia sana hizo dawa wakati nikiwa nasumbuliwa na maumivu makali ya nerves. Nilikua nameza hizo pamoja na pregabalin na madawa kibao ya kutuliza maumivu. Zina usingizi balaa ila tatizo lake nilikuja kuliona baada ya kumaliza dozi. Usingizi nilikua nautafuta kwa tochi kuna siku mpaka unatoboa asubuhi macho makavuu.. ilinichukua karibu miezi 6 kuanza kupata usingizi tena.
 
Ulipona?
 
Habari wana JF!

Kama kuna mtu aliewahi kutumia au mtaalamu wa dawa aina ya Amitriptyline naomba feedback + effects
Kwanini umepewa tuanze hapo kabla sijajibu swali lako
 
Ni antidepressant, nilimeza ili nipate usingizi....usingizi wake sio wa kawaida yani unalala huku unahisi raha, unalala kama vile upo kwenye bembea unaswing unahisi mwili mwepesiiiii..
Kama mihadarati au siyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…