Engine0964
Member
- Sep 21, 2022
- 5
- 2
Ni bachelor mkuuFafanua ni Ordinary Diploma au Bachelor?
Ulisoma diploma? Kama ni wa form 6 google namba za ERB then uwapigie uwaulize kama wanaitambua kozi wa mechanical ya NIT au unaweza uliza walio maliza hapo.Wakuu kwa mwenye uelewa naomba msaada tafadhali.
Nimechaguliwa kozi ya Mechanical engineering chuo cha NIT ngazi ya Bachelor lakini naona ni ya miaka mitatu 3 nilikua nauliza kuna utofauti gani na kwenye vyuo vingine kwa sababu kozi hii inachukua miaka minne 4
Acha kupotosha watu mkuu! Hii data umetoa wapi? Unajua kuna nchi hizo zilizo endelea wanasoma engineering miaka 5 mpaka 6?Sawa tu
Mbona nchi zinazojielewa kila kozi ni mitatu tu, isipokuwa udaktari...
Miaka 4 ni kupoteza muda, sanasana utasomeshwa makorokoro ambayo hutakuja kuyatumia kazini wala katika maisha yako, yaani basi tu ni kukuongezea deni la mkopo liwe kubwa....
Naona unatafuta ligi...Acha kupotosha watu mkuu! Hii data umetoa wapi? Unajua kuna nchi hizo zilizo endelea wanasoma engineering miaka 5 mpaka 6?
Kwa mtu wa form6 lazima asome engineering miaka minne.
Umeme katika level gani Electrical Engineering NTA level 4-6 auNimemaliz 4m four Naomba kuuliza wakubwa nikitaka kusoma umeme vigezo gani natakiwa niwe navyo na hii kozi mwisho mwez gani wa kuchukua form. Naomba mnijuze wakubwa
Electrical Engineering ni kama inavyojieleza ni uhandisi wa umeme ila kwa hapo ni kwa level ya ufundi ya National Technical Award level 6 unasoma miaka 3 ukiwa na ufaulu wa Hesabu, Fizikia na Kemia. Utakuwa msaidizi wa mhandisi yani Engineer na huitwa Technicians yani fundi sanifu.Kaka samahan naomba unifafanulie kazi ya hizo kiundani hili nijue kipi sahihi kusomea au kipi bora naomba unisaidie sijuh chochote kuhusu umeme ila napenda umeme nisomee
UwongoAcha kupotosha watu mkuu! Hii data umetoa wapi? Unajua kuna nchi hizo zilizo endelea wanasoma engineering miaka 5 mpaka 6?
Kwa mtu wa form6 lazima asome engineering miaka minne.
Jamaa huwa anajikuta anajua kila kitu kuhusu engineering lakn hamna kitu! Iyo miaka mi5 mpk 6 huwa ni degree na masters vimekua intergrated pamoja.Uwongo
Kadhalika,chuo ch oxford engineering ni miaka 4 na unatoka na Masters of eng so generally hakuna rule kwamba degree ya engineering lazima isomwe miaka 4, lkn pia haiwezi kusomwa chini ya miaka 3.Jamaa huwa anajikuta anajua kila kitu kuhusu engineering lakn hamna kitu! Iyo miaka mi5 mpk 6 huwa ni degree na masters vimekua intergrated pamoja.
Lakini pia kuna baadhi ya vyuo kama university of capetown SA degree ya engineering standard ni miaka 4 ila inakupa option ya kuisoma mpk miaka 5 kma unaona hauwezi kuendena na kasi ya coverage ndani ya miaka minne.