Naomba nijibiwe na waelewa tu

Mwanzoni alisema wakijiunga huko atachukua hatua, kwa sasa anatishia NATO wakiweka silaha huko atachukua hatua.
 
Hata sisi Tz tunapaswa kubadili mtazamo wetu kuhusiana na ukaribu wetu kwenye uundaji na uendeshaji wa jeshi letu, tazama aina ya silaha tunazotumia, tazama tulivyo na ukaribu na nchi za mashariki.

Ndio maana sio ajabu na sisi kushow off silaha zetu kwenye platform za kitaifa. Huku ni kupitwa na wakati, zipo nchi zina silaha nzito mno na wala huwasikii wakisema wana silaha flani flani.

Ni rahisi kusema silaha anazooneshaga Russia ni chache ila zipo kali zaidi, mimi hili jambo nitalipinga, kama zipo basi ni kwa uchache. Sio rahisi kujua France, Turkey, UK, Canada wana vitu gani kwenye maghala yao ila ninaamini kabisa wana teknolojia bora kbs ya kijeshi.

Kwa huko tunakoelekea, Finland anaweza akasimama kwa sehemu na Russia, Russia kila siku anapoteza Askari, na sio mmoja au wawili ila ni mamia. Leo anapigana na Ukraine, kesho atakuja Finland, atapigana nae? After Finland anakuja Sweden, ataingia nae vitani pia? Na bado kuna msululu mkubwa wa jirani zake kujiunga NATO. Kuna wakati Russia atatulia tu.
 
Kwahiyo hypersonic missile ni za miaka ya 90? Laser weapon ni za miaka ya 90?

Yaani ndo kiazi mtupu. Pia rudi shule ndo uje uanze kuandika ukiazi wako hapa. Binadamu gani unaandika maelezo marefu hata kuweka sentensi hujui. Paragraph hujui, nukta hujui, sentensi hujui, mkato hujui ...

Hovyo kabisa, nenda kasome.
 
aisee we ndo unayejifanyaa unajua? Mbona we ndo kiazi mbatata kwa kuleta story za vijiwe vya bangi.
 
Watajikusanya lakini watatawanyika kwa njia saba. Neno halifi.
 
Finland anawashwa washwa mwaka 1939 alichapwa sasa anafikiri kwa kujiunga NATO anaweza kulipiza kisasi.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Matokeo ya hiyo vita ya mwaka 1939 yalikuwa kama motisha kwa Hitler kutaka kuivamia USSR.

Performance mbovu ya USSR dhidi ya Finland ilimfanya Hitler kuamini kuwa uvamizi wake kwa USSR ungefanikiwa. Kilichofuata mwaka 1941, Operation Barbarossa dhidi ya USSR.
 
Uko sahihi Lazima wanakufa pia.

Analysis inapatikana utakapopata truth kutoka kwenye uwanjanwa vita na historia ya wapiganao.

Nionavyo Russia ana disposal kubwa tu. Na war tactics pia zimo. US alivyodosha bomu heroshima na Nagasaki. Bado anakumbukumbu hiyo.

Wale wanaomiliki haya madude waliwekeana utaratibu
Treaty on the Non-Proliferation of Nuclear Weapons
Wanajuana wakati Russia anaishia kusogeza madude karib wote wanajua hashindwi kuliachia. Majuz hapa mshika kidanduku Cha codes za kufyatua madude alivyokutwa ameuwawa kwake. Kisa ni kuonekana kuasi. Ikaniambia huyu mrusi anasoma alama nyingi.

USA anasoma Kwa makini pia nyendo za urusi lkn urusi haharibu tuu zile silaha zinazopelekwa Ukraine anazijia uwezo na ubora wake. Na anaumiza kichwa pia.

Kuna msemo unadai their is Moscow inside Moscow. Mambo mengi ya kiulinzi ya mrusi hayafahamiki
 
G.

Operesheni Barbarossa ilishindwa kwa sababu Ujerumani ilitumia vikosi dhaifu vya kijeshi, ilikuwa na vifaa na mipango duni, na ilishindwa kushinda Vita vya Stalingrad, ambayo ni moja ya vita kuu katika Operesheni Barbarossa.

Tatizo kubwa ambalo linasababisha kushindwa kwa operesheni hii ilikuwa majira ya baridi nchini Urusi.
 
Sio urusi tu taifa lolote lile mambo yake ya kiulinzi ni classified. Kuanzia silaha mpaka code za lawasiliano. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuleta ushabiki kwenye mambo ya vita. Walioko mstari wa mbele ni sawa wapo kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…