Swali langi ndio Hilo USA hahofii kupigwa nuclear pale newyock?.... nuclear! nuclear! nuclear! Kwa hiyo lengo la Urusi kumiliki nuclear ni kutaka kuzionea nchi nyingine zisiwe na sauti! Inaposemwa Urusi ni madikteta kamili wanaotamani kuitawala dunia inasemwa kwa makosa? Kwenye hii vita Urusi amejianika malengo yake halisi na hataachwa salama.
Finland anasumbuliwa na nyege, anataka kundwapanilimaanisha Naomba nijibiwe na waelewa tuu
Nilidhani una mafuanilimaanisha Naomba nijibiwe na waelewa tuu
Halafu mi nahisi kama Marekani wana play trick maana jamaa wanajidai kama wana lia lia.Hakuna kinachotokea kwa bahat mbaya. Back in 2014, UK alikuwa anatoa mafunzo ya silaha za anti tank kama javeline, stingers n.k kwa Ukraine.
Leo ni 2022, miaka 8 tukashuhudia mambo yanatokea. Kifupi niseme kuwa US ilishajipanga kuja kupambana na Russia ktk ardhi ya ugenini. Yale mabajeti ya US mazito mazito ktk Ulinzi ni kwa ajili ya kazi za kidhalimu kama hizi.
Asikwambie mtu, dhumuni la US ktk vita hii lazima litimie. Wengi tunaona kama vile Russia akishinda vita basi US ameshindwa, tunasema hivi sababu hatujui CIA imekusudia nini kwa Russia.
Yamkini wanahitaji kujua ubora wa jeshi la anga na ardhini la Russia, pengine kutambua mifumo yake ya ulinzi ina ubora kiasi gani, Russia ana silaha gani kwa sasa za kisasa, tukumbuke tayar Russia ametumia hypersonic missiles, laser weapons n.k
Kwahiyo Russia kuchukua Ukraine inawezekana ila haimaanishi kuwa azma ya US imefeli, hapana, kuna kitu jamaa wamekirenga n sisi ni vigumu kukitambua.
US ndo taifa pekee linalojua miaka 30 mbele wao watakuwa wapi. Jamaa wanajiamini mno ktk mipango yao.
Halafu mi nahisi kama Marekani wana play trick maana jamaa wanajidai kama wana lia lia.
Russia wawe makini maana hapa kuna taifa litapigwa tukio vitukuu vyetu vitasoma history huko mbeleni.
Mashetani sio watu wana plan mpaka vitu vya mbele Russia awe makini sana,
Binafsi nimeshindwa kuelewa hawa maadui wa Russia wanapanga nini.
Brainwashed!Hakuna kinachotokea kwa bahat mbaya. Back in 2014, UK alikuwa anatoa mafunzo ya silaha za anti tank kama javeline, stingers n.k kwa Ukraine.
Leo ni 2022, miaka 8 tukashuhudia mambo yanatokea. Kifupi niseme kuwa US ilishajipanga kuja kupambana na Russia ktk ardhi ya ugenini. Yale mabajeti ya US mazito mazito ktk Ulinzi ni kwa ajili ya kazi za kidhalimu kama hizi.
Asikwambie mtu, dhumuni la US ktk vita hii lazima litimie. Wengi tunaona kama vile Russia akishinda vita basi US ameshindwa, tunasema hivi sababu hatujui CIA imekusudia nini kwa Russia.
Yamkini wanahitaji kujua ubora wa jeshi la anga na ardhini la Russia, pengine kutambua mifumo yake ya ulinzi ina ubora kiasi gani, Russia ana silaha gani kwa sasa za kisasa, tukumbuke tayar Russia ametumia hypersonic missiles, laser weapons n.k
Kwahiyo Russia kuchukua Ukraine inawezekana ila haimaanishi kuwa azma ya US imefeli, hapana, kuna kitu jamaa wamekirenga n sisi ni vigumu kukitambua.
US ndo taifa pekee linalojua miaka 30 mbele wao watakuwa wapi. Jamaa wanajiamini mno ktk mipango yao.
Kichapo gani? kama sio kubadilishana mapigo. Vijana wengi wa Tanzania mnatia aibu kwa kuweka hisia kwenye mambo yanayoitaji analysis. Ukichunguza warusi wenyewe wanavyochambua hii operation ni tofauti kabisa na watz wengine wenye degree za political science. Kwa akili ndogo tu kama Russia hajapata air superiority unafikili anaweza kutembeza mapigo kizembe, ukiona Russia amesonga mbele ujue askari wengi wamekufa. Ushindi mzuri kwenye uwanja wa medani ni kushinda vita ( battle ) kwa haraka sana pasipo kuua askari wengiFinland kama nchi ni lazima ijitie kufanya mazoezi ili isionekane nyonge maana mwenzake anachezea kichapo ktk Karne hii haijawahi kutokea, mazoezi ya kijeshi ni kawaida kwa taifa, but haitozuia Uamuzi wwte wa Russia, kumbuka Finland haijajiunga na NATO na hapohapo Russia kasema ikijiunga atachukua hatua, hatujui hatua gani ila nahisi akijiunga na NATO amani alionayo sasa na miaka ya nyuma 98% itaondoka nchini mwao
Ndyo maaana kasema wajibu watu wanaojua Ila ww kiazii unakuja kujibu kishabiki uku aliyekwambia mataifa makubwa hayana mipango ya miaka zaidi ya 50 ni Nani China Tu chipukizi WA juzi ana mipango ya Hadi 2070 uku itakuwa Rusia ivi nyie akili zenu mmeziweka wapi wajuzi WA vita wanasema Rusia anatumia silaha za kipindi cha Soviet hizi za kisasa bado kijana fatilia Mambo kiundani Acha ushabiki WA vijiwe vya kahawaHakuna kinachotokea kwa bahat mbaya. Back in 2014, UK alikuwa anatoa mafunzo ya silaha za anti tank kama javeline, stingers n.k kwa Ukraine.