Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 Apr 22, 2015 #2 Utapata kuwa na uvumilivu,
skipper JF-Expert Member Joined Mar 4, 2011 Posts 659 Reaction score 72 Apr 23, 2015 #3 kwa ulivosomea unatakiwa uanze kufanya kazi zako yani uwe active hiyo kazi itakuja tuu, usikae kusubiri tuu wakati unaweza anza kurekodi, na kufanya shuguli kama una vifaa....u sell ur service to make you valuable...so kaza tuu amini mambo yatakuja
kwa ulivosomea unatakiwa uanze kufanya kazi zako yani uwe active hiyo kazi itakuja tuu, usikae kusubiri tuu wakati unaweza anza kurekodi, na kufanya shuguli kama una vifaa....u sell ur service to make you valuable...so kaza tuu amini mambo yatakuja
G Gun Jun Pyo Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26 Reaction score 4 Apr 23, 2015 #4 Muombe sana mungu atajibu