Mkuu Keben njisia na umri wako ni ipi?
Maumivu ni ya aina gani?.unaweza kuyaelezeaje mf. kukata, kuchoma, kusagika n.k?
-Vipi dalili kama mkojo kubadilika rangi, maumivu wakati wa kukojoa mara kwa mara? Kutapika, kutokwa jasho mara kwa mara(na mara nyingi pia), kuharisha
-Ni dawa gani ulizotumia (zilikokusaidia na ambazo hazikukusaidia).
-Uliwahi kupata ajali yeyote au kudondoka/kuanguka?[/QUO
Ahsante sana chief wangu....................... hebu tusubiri mhusika ajibu haya maswali, tupate a way forward