Naomba msaada

Naomba msaada

Passed

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
561
Reaction score
161
Kichwa changu baada ya kuwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu naona kwa ndani kama kuna washa kama kizito yani hata sikielew nitumie dawa gani mwanzo hakikwepo ivyo ila sioni kama kinauma ningekunywa panadol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole ndugu, umejaribu kufika hospitali kuwaona wataalamu?
 
ulifaham vipi kwamba una tatizo la msongo wa mawazo?
Najijua nina mawazo tangu mwez wa saba mwaka jana had leo sijawahi kufurahia maisha yangu ninayoishi kwa sasa nina waza 24 hrs na nais itakuwa chanzo cha matatiz ya kichwa man mda mwingin naon kama nimebeba kitu had nitie maji yakikauk hali inarud tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najijua nina mawazo tangu mwez wa saba mwaka jana had leo sijawahi kufurahia maisha yangu ninayoishi kwa sasa nina waza 24 hrs na nais itakuwa chanzo cha matatiz ya kichwa man mda mwingin naon kama nimebeba kitu had nitie maji yakikauk hali inarud tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Utieje maji mkuu? Ebu elezea vizuri Kwamba unahisi ndani ya kichwa kuna maji au kitu kizito kinacheza au kimeganda, Hali hiyo inakutokea ukiwa na mawazo mda sana au ni mda wote hali hiko hivyo?
 
Back
Top Bottom