haina soko jiandae kujiajiri.....lakn enzi zile ilipokuwa na soko ungepata kazi ya maana mno mpaka ndugu zako wangejivunia uwepo wako duniani....nakushauri labda jaribu kujisomea kwa bidii upate GPA kubwa kuanzia 4.1 to 4.8 ili angalau department mojawapo ya chuo itakufikiria kukuajiri kama assistant lecture baada ya kusoma masters....vingnevyo utasanda mtaani kumbuka kuna maisha baada ya chuo......
sent from Sodoka web