Habari wadau, kwa ambao wamepita na wanaosoma au wanaijua open university ninaomba kujuzwa ada yake pamoja na direct costs kwa ujumla hususani kwenye kozi za BBA.Nimejaribu kupitia website yao ila sijapata enough information.
ada ni 60,000 kwa unit moja kwa mwaka.....ndani ya mwaka unasoma unit 12 hivyo piga hesabu elfu 60 mara unit 12 utapata ada inayotakiwa kulipwa kwa mwaka mmoja..........
uwe unajitahidi kua serious japo mara moja kwa mwaka, mtu anauliza yupo serious we unaleta mambo ya kise.nge, kama huna jibu funga domo lako lisilo pigwa mswaki, nyambafu!
ada ni 60,000 kwa unit moja kwa mwaka.....ndani ya mwaka unasoma unit 12 hivyo piga hesabu elfu 60 mara unit 12 utapata ada inayotakiwa kulipwa kwa mwaka mmoja..........
Ahsante kwa majibu ila ningependa kujua jumla ya gharama kwa anayeanza first year yani direct costs(library,registration, ID etc)+ tuition fee kwa sababu hiyo elfu 60 ni tuition fee tu.Samahani kwa usumbufu