Hawapokei simu za mkononi walizoweka hadi landline,sasa nashangaa hizo simu wameweka kwa matumizi yapi mkuu.Tembelea tovuti yao wameweka mawasiliano yao.
Ungeeleza tatizo ulilolipata ili usaidiwe na wanaofahamu.Hawapokei simu za mkononi walizoweka hadi landline,sasa nashangaa hizo simu wameweka kwa matumizi yapi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna taarifa nataka kuupdate ya vyeti sasa hawajatoa hiyo option kwenye system yao.Ungeeleza tatizo ulilolipata ili usaidiwe na wanaofahamu.
Kwanza umefanya malipo ya ada ya kujisajiri?Kuna taarifa nataka kuupdate ya vyeti sasa hawajatoa hiyo option kwenye system yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikiw nijulishe na mimi ndgNiko kwenye process ya kumfanyia mtu application ili aweze kuomba chuo kikuu kama NACTE walivyoagiza kwa watunwa equivalent,bahati mbaya nimekutana na technical problem,hivyo kwa mwenye mawasiliano na hawa jamaa naomba aweke hapa,maana contacts zao walizotoa naomba ni za mapambo hakuna hata moja inayopokelewa. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi unaweza kufanya yote hayo bila kulipa? Lakini the major concept here ni kuhusu NACTE kuweka contacts za kuwapata na wao kutopokea kabisa lengo ni nini?Kwanza umefanya malipo ya ada ya kujisajiri?
je waweza ntajia sifa za mwombajNiko kwenye process ya kumfanyia mtu application ili aweze kuomba chuo kikuu kama NACTE walivyoagiza kwa watunwa equivalent,bahati mbaya nimekutana na technical problem,hivyo kwa mwenye mawasiliano na hawa jamaa naomba aweke hapa,maana contacts zao walizotoa naomba ni za mapambo hakuna hata moja inayopokelewa. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm nina shida Kama hyo,nimelipia hawajanitumia hyo numberWakuu Kuna mtu ana namba za watu wa nacte maana zile namba za kwenye web yao hawapokei Wala email hawajibu
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Huwaga hawapokei ni bora ufike kwenye ofisi zaoWakuu Kuna mtu ana namba za watu wa nacte maana zile namba za kwenye web yao hawapokei Wala email hawajibu
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app