Naomba msaada wa kuondoa hii Error kwenye windows

Yap ni window xp

Kama ni WinXP hii kitu ni rahisi tu...

Fungua Task Manager halafu nenda tab ya process na tafuta processes zenye majina haya "wgatray.exe" na "wgalogon.dll"...End hizo processes zote mbili...

Baada ya hapo fungua C:\Windows\System32...tafuta mahali zilipo wgatray.exe na rename kwenda wgatray1.exe pia wgalogon.dll kuwa wgalogon1.dll

Restart kompyuta yako...kila kitu kitakuwa poa.
 
Watu8
Nakushukuru sana mkuu, ingawa pale kwenye task manage/processe sikuona wgalogon.dll bali niliona wgalogon.exe nikajaribu kustop ikagoma lakini wgatray.exe akakubali, nikaamua kuendelea na process zinazofuata nashukuru mambo yamekuwa mazuri, ahsante sana.
 
Last edited by a moderator:

Usijali mkuu muhimu umefanikiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…