Naomba msaada wa kazi

Le Cyrus

Member
Joined
May 18, 2022
Posts
41
Reaction score
69
Hello
Naomba msaada wa kazi au internship au kuvolunteer kwa yeyote mwenye kuguswa naomba anisaidie.

Nina degree ya sociology nimegraduate 2021 nina expirience ya mwaka mmoja kwenye maswala ya public and communication relation na adminstration.

Naweza kufanya kazi kwenye
Ngos
taasisi
kampuni
initiatives
iwe mjini au kijijini sichagui.

Kwa mwenye connection au namna yoyote ya kuweza kunisaidia mawasiliano yangu ni 0710711507 na email: lecyrus28@gmail.com

Ntashukuru sana kwa msaada wowote mtakao nipatia.
 
Mungu akutangulie upate hitaji lako.
NB.
Pokea msaada/connection kwa tahadhari kubwa!
Kila la heri binti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…