Umewahi kupitia maelezo haya
mahitaji ya awali kabla ya kuanza kukaanga karanga za mayai.
1. Sukari kiasi
2. Unga wa ngano kilo 1 moja na nusu.
3. Karanga kilo 1
4. Mayai 3
5. Mafuta ya kupikia kiasi kulingana na mchanganyiko wako.
Namna ya kutengeneza
a. Pasua mayai ,changanya mayai na sukari kisha koroga katika chumba kimoja.
b. Hatua ya pili chukua unga wa ngano kisha changanya na mchanganyiko namba (a) yaani mchanganyiko wa mayai na sukari.
c. Weka mafuta katika sufuria kisha injika motoni. Lakini hakikisha moto hauwi mkali sana. Ukiwa mkali sana utasababisha karanga kuungua sana na kupoteza radha.
d. Koroga mchanganyiko huo taratibu ili kuondoa kugandamana kwa mchanganyiko huo wa karanga pamoja na unga wa ngano. Fanya hivyo kila baada ya dakika kadhaa.
e. Ukiona zimeanza kubadilika rangi onja kwa kujiridhisha kama kweli zimeiva.
f. Zikisha iva ziepue kisha weka katika chombo kisafi ili zipoe.
unatafuta mchumba? Nenda jukwaa husika.WEWE NI "KE" AU "ME"?
TUANZIE HAPO KWANZA.
Nachukua Karanga ambazozishachambukiwa hizi nyeupe napasua mayai nayachanganya na sukari na vanila kidogo then namiminia kwenye karangazangu nazikoroga mpaka zotezishike mayai then nachukua unga wangano nanyunyuzia uku nikikoroga kila karanga ishike unga aftazat nazikaanga note mafuta nilishayabandika yakapata motoSamahani kabla ya ushauri ningependa kujua ww uwa unapikaje ili tuweze kugundua wapi unapokosea
Samahani kabla ya ushauri ningependa kujua ww uwa unapikaje ili tuweze kugundua wapi unapokosea
Umewahi kupitia maelezo hayaNachukua Karanga ambazozishachambukiwa hizi nyeupe napasua mayai nayachanganya na sukari na vanila kidogo then namiminia kwenye karangazangu nazikoroga mpaka zotezishike mayai then nachukua unga wangano nanyunyuzia uku nikikoroga kila karanga ishike unga aftazat nazikaanga note mafuta nilishayabandika yakapata moto
Umewahi kupitia maelezo haya
mahitaji ya awali kabla ya kuanza kukaanga karanga za mayai.
1. Sukari kiasi
2. Unga wa ngano kilo 1 moja na nusu.
3. Karanga kilo 1
4. Mayai 3
5. Mafuta ya kupikia kiasi kulingana na mchanganyiko wako.
Namna ya kutengeneza
a. Pasua mayai ,changanya mayai na sukari kisha koroga katika chumba kimoja.
b. Hatua ya pili chukua unga wa ngano kisha changanya na mchanganyiko namba (a) yaani mchanganyiko wa mayai na sukari.
c. Weka mafuta katika sufuria kisha injika motoni. Lakini hakikisha moto hauwi mkali sana. Ukiwa mkali sana utasababisha karanga kuungua sana na kupoteza radha.
d. Koroga mchanganyiko huo taratibu ili kuondoa kugandamana kwa mchanganyiko huo wa karanga pamoja na unga wa ngano. Fanya hivyo kila baada ya dakika kadhaa.
e. Ukiona zimeanza kubadilika rangi onja kwa kujiridhisha kama kweli zimeiva.
f. Zikisha iva ziepue kisha weka katika chombo kisafi ili zipoe.
Umewahi kupitia maelezo haya
mahitaji ya awali kabla ya kuanza kukaanga karanga za mayai.
1. Sukari kiasi
2. Unga wa ngano kilo 1 moja na nusu.
3. Karanga kilo 1
4. Mayai 3
5. Mafuta ya kupikia kiasi kulingana na mchanganyiko wako.
Namna ya kutengeneza
a. Pasua mayai ,changanya mayai na sukari kisha koroga katika chumba kimoja.
b. Hatua ya pili chukua unga wa ngano kisha changanya na mchanganyiko namba (a) yaani mchanganyiko wa mayai na sukari.
c. Weka mafuta katika sufuria kisha injika motoni. Lakini hakikisha moto hauwi mkali sana. Ukiwa mkali sana utasababisha karanga kuungua sana na kupoteza radha.
d. Koroga mchanganyiko huo taratibu ili kuondoa kugandamana kwa mchanganyiko huo wa karanga pamoja na unga wa ngano. Fanya hivyo kila baada ya dakika kadhaa.
e. Ukiona zimeanza kubadilika rangi onja kwa kujiridhisha kama kweli zimeiva.
f. Zikisha iva ziepue kisha weka katika chombo kisafi ili zipoe.
Naomba nifundishe.Baba naniliu Daby unajua kuzipika hizi?kama hujui niombe nikufundishe
Hii ni moja ya snacks/bites ninayoionea kwenye upishi wake