The Teacher Senior Member Joined Feb 2, 2013 Posts 176 Reaction score 82 Oct 8, 2014 #1 Please mwenye kujua tatizo, min laptop yangu screen yake hai display...ilidondoka kutoka meza ya chakula to the floor..anisaidie plz.
Please mwenye kujua tatizo, min laptop yangu screen yake hai display...ilidondoka kutoka meza ya chakula to the floor..anisaidie plz.
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 926 Reaction score 638 Oct 8, 2014 #2 ni yakufanya checkup yawezekana mkanda au kioo kimeharibika, au lose connectin, unaweza nichek nikuangalizie
ni yakufanya checkup yawezekana mkanda au kioo kimeharibika, au lose connectin, unaweza nichek nikuangalizie
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,466 Reaction score 822 Oct 9, 2014 #3 kama ilidodondoka hapo kuna mambo mengi sana yanaweza jitokeza bt jaribu kuwashia kwenye monitor ya nje kwanza ili tujue ina boot windows au la!kama ulisha jaribu lete majibu kwanza then tujue pa kuanzia.
kama ilidodondoka hapo kuna mambo mengi sana yanaweza jitokeza bt jaribu kuwashia kwenye monitor ya nje kwanza ili tujue ina boot windows au la!kama ulisha jaribu lete majibu kwanza then tujue pa kuanzia.
The Teacher Senior Member Joined Feb 2, 2013 Posts 176 Reaction score 82 Oct 11, 2014 Thread starter #4 Ahsanten kwa ushauri, naomba LOOOK unijuze namna ya kuwashia kwenye monitor ya nje? Hw shud i connect t? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ahsanten kwa ushauri, naomba LOOOK unijuze namna ya kuwashia kwenye monitor ya nje? Hw shud i connect t?