Naomba msaada tafadhali

Ukiwajengea akiolewaa akazaa huko,nyumba pindi wew na mchepuko wako hampo, vitaa na ndugu zaoo.Labda uweke kisheria.
 
Yote uliyoandika hapa,wanaume maelf na maelf Duniani wamepitia.Na bila hivyo kuna watu wengine wasingepata nafasi ya kuzaliwa.
Hakuna kitu kipya hapo,tafuta njia uta solve yatakwisha.huyo mke mkubwa akikisumbua sana mpaka ukose raha piga chini. Mke sio Mama yako wala ndugu yako kuwa lazima mgandane kama kupe
 
Sina ushauri ila nakupa taarifa kua mkeo atagawa nje muda si mrefu kama bado hajagawa,
Waweza rudisha maelewano ila the trust is gone.

“ kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe..”
 
Sina ushauri ila nakupa taarifa kua mkeo atagawa nje muda si mrefu kama bado hajagawa,
Waweza rudisha maelewano ila the trust is gone.

“ kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe..”
 
Mjinga sana wewe. Unazaa watoto wawili na mchepuko halafu unasema eti uliteleza tu? Huyo mke wako kama ana akili wala asirudi nyuma. Aondoke zake akatafuta wanawaume wenye upendo wa kweli.
 
Unasema MCHEPUKO hauna alikili lakini umezaa nao watoto wawili bro are you serious kweli?! Wewe uliacha nyege zikutawale na sio akili saa hii unaanza kumlaumu mchepuko?! Wewe ndio mjinga sio huyo demu. Na hata ukimfungulia biashara unauhakika anaweza mudu biashara?!
 
Piga chini mke piga chini mchepuko piga chini watoto.....kula raha
 
TANGA tena KONDOA aise

Umalaya wenu na hizo stories uchwara hizi.ingekuwa ugunduzi ingekuwa poa sana
 
Kichwa bila akili ni mzigo wa shingo.
Kwakuwa umelikoroga linywe.
 
Wewe ndo huna akili.
Mchepuko ana akili na soon atamiliki biashara utakayomfungulia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…