Naomba kwa mwenye nyimbo zifuatazo anisaidie namna ya kuzipata (preferably online maana ukiniambia niende Mtaa wa Kongo ama Buguruni sitaweza maana nipo ughaibuni):
Sanza Misato (Shaba Kahamba/Tabu Ley & Les Afrisa International)
Maneno ya watu (Wengine Huuita "Watu Wanasema") Chidumule/Mlimani Park Ochestra
Ninayo cd mp3 ya zilipendwa niliipata nilipoenda bongo ila shida ni namna ya kuiingiza mtandaoni, nimejaribu kuattach imeshindikana ngoja asubuhi wataalamu wanipe namna ila kama unaweza nipe maelezo namna ya kuiattach!