Naomba msaada nimekwama

kinyagu

Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
29
Reaction score
13
Habar za jioni!

Nina mtoto anasoma form six shule moja huko mkoani ya serikali, hivi tunavyoongea kafukuzwa shule kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Nimejaribu kuongea na mkuu wa shule kumuomba aweze kufanya mtihani wa kidato cha sita lakini mkuu kakataa kwamba hawez fanya mtihani pale shuleni.

Mtoto alikua kashalipia baraza la mtihani kufanya mtihani wa kidato cha sita. Ombi langu naweza fanyaje ili mtoto aweze kufanya mtihani..naombeni ushauri!

Natanguliza shukran zangu.
 
bora umuache afanye mwakani iwe kama fundisho pia apate muda wa kujipanga sio kufanya tu mtihani
 
Jaribu kuripoti necta ila Ukienda uwe mpole (ila sina uhakika kama utasaidiwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…