Naomba msaada nasumbuliwa na tumbo

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habari za usiku huu wakubwa,

Bila shaka humu tunao madaktari wetu wazuri tu. Sasa ni hivi, Nina tatizo la kupata maumivu upande wa kulia mwa tumbo chini ya kitovu.

Au kwa maelezo mengine ni kwamba huwa nasumbuliwa na tumbo la chango. Na nadhani huwa inatokea kuanzia siku ya 14 hadi 18 baada ya kwenda hedhi.

Kwa yoyote anaefahamu dawa au sababu ya kuumwa na chango anijuze

Asanteni.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…