kijumbamshale
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 267
- 88
ok ngoja niiweke hivi..
siku ambayo ina probability kubwa yakupata mimba ni siku 14 kabla ya mzunguko ujao;hivyo kama mkeo ana mzunguko wa siku 28 inakua hivi;
-tufanye 28 toa 14 inakua 14 (28-14=14) hivyo siku ya 14 baada ya hedhi kuanza ndio siku hatari zaidi.
-yai(ovum) huwa lina survive masaa kadhaa (36) ambayo ni kama siku moja na nusu hivyo siku ya 15,siku ya 16 na nusu pia ni hatari,ila to be in a safe side tuaproximate kwamba siku ya 15,16 na 17 pia ni hatari.
-mwili wa binadamu hauna formula hivyo yaweza tokea yai likawahi kidogo au likachelewa kidogo hivyo tufanye kwamba siku ya 11,12 na 13 pia ni hatari.
Conclusion:
-siku hatari ni siku ya 11 hadi siku ya 17
-siku zingine zote zilizobaki ni salama.
NB;siku zinahesabiwa kwaanzia hedhi ilipoanza hivyo tunaposema siku ya 11 tunamaanisha siku ya 11 baada ya hesdhi kuanza,yani siku hedhi ikianza ndio inahesabiwa ni day one.
Ili kuuelewa mzunguko unahesabu hivi, siku anapopata bleed(damu inapotoka kwa mara ya kwanza) ndio unaihesabu ni siku ya kwanza. Ili kujua ana mzunguko wa siku ngapi unaendelea kuhesabu weeeee mpaka atakapopata tena bleed. Jumla ya hizo siku ndio mzunguko wake kwa hiyo kama hizo siku ni 21 tunasema ana mzunguko wa siku 21 kama ni 28 tunasema ana mzunguko wa siku 28 nk. Ili kujiridhisha kwamba mzunguko ni wa siku ngapi inabidi ufuatilie walau kwa miezi mitatu au zaidi kama ukipata idadi ya siku zinazofanana ndio unasema kwamba mzunguko ni wa siku 21au28au35. Kwa kawaida yai hupevuka katikati ya mzunguko hivyo baada ya kujua mzunguko ni wa siku ngapi then hizo siku ukigawanya kwa mbili ndio kipindi ambacho yai linakuwa tayari kwa kupokea mbegu. Kwa kuwa mbegu za kiume zinaweza kuishi siku tatu ukeni bila kufa kwa hiyo ukijamiiana siku tatu kabla ya siku ya yai kutolewa unaweza kupata ujauzito( ie siku za hatari zinaanzia siku 3 kabla ya hiyo siku ambayo ni ya katikati ya mzunguko) pia yai baada ya kupevuka pia linaweza kuishi kwa siku 3 hivyo siku 3 baada ya ile siku yetu ya katikati nazo ni za hatari. Kwa hiyo tuna jumla ya siku za hatari sita. Tatu kabla ya hiyo siku ya katikati na tatu baada.
Ukichukulia mfano mtu mwenye mzunguko wa siku 28, siku ya kwanza anapoanza kupata hedhi mpaka siku ya 10 zinakua sio siku za hatari siku ya 11,12,13 ni za hatari kwa kuwa zimekaribiana na siku ya kupevushwa yai ambayo ni siku ya 14. Baada ya yai nalo kupevushwa linaweza kukaa siku 3 kwa hiyo siku za hatari zinaendelea kuwa siku ya 14,15,16 na 17. Halafu inakua salama mpaka atakapo pata hedhi tena na kuanza mzunguko upya.
Angalizo hapa naongelea siku na wala sio tarehe za kalenda hedhi inaweza kuanza siku yeyote ile ila kwa kalenda ya hedhi ndio itahesabika siku ya kwanza.
Natumai nimeeleweka
ok ngoja niiweke hivi..
siku ambayo ina probability kubwa yakupata mimba ni siku 14 kabla ya mzunguko ujao;hivyo kama mkeo ana mzunguko wa siku 28 inakua hivi;
-tufanye 28 toa 14 inakua 14 (28-14=14) hivyo siku ya 14 baada ya hedhi kuanza ndio siku hatari zaidi.
-yai(ovum) huwa lina survive masaa kadhaa (36) ambayo ni kama siku moja na nusu hivyo siku ya 15,siku ya 16 na nusu pia ni hatari,ila to be in a safe side tuaproximate kwamba siku ya 15,16 na 17 pia ni hatari.
-mwili wa binadamu hauna formula hivyo yaweza tokea yai likawahi kidogo au likachelewa kidogo hivyo tufanye kwamba siku ya 11,12 na 13 pia ni hatari.
Conclusion:
-siku hatari ni siku ya 11 hadi siku ya 17
-siku zingine zote zilizobaki ni salama.
NB;siku zinahesabiwa kwaanzia hedhi ilipoanza hivyo tunaposema siku ya 11 tunamaanisha siku ya 11 baada ya hesdhi kuanza,yani siku hedhi ikianza ndio inahesabiwa ni day one.
ok ngoja niiweke hivi..
siku ambayo ina probability kubwa yakupata mimba ni siku 14 kabla ya mzunguko ujao;hivyo kama mkeo ana mzunguko wa siku 28 inakua hivi;
-tufanye 28 toa 14 inakua 14 (28-14=14) hivyo siku ya 14 baada ya hedhi kuanza ndio siku hatari zaidi.
-yai(ovum) huwa lina survive masaa kadhaa (36) ambayo ni kama siku moja na nusu hivyo siku ya 15,siku ya 16 na nusu pia ni hatari,ila to be in a safe side tuaproximate kwamba siku ya 15,16 na 17 pia ni hatari.
-mwili wa binadamu hauna formula hivyo yaweza tokea yai likawahi kidogo au likachelewa kidogo hivyo tufanye kwamba siku ya 11,12 na 13 pia ni hatari.
Conclusion:
-siku hatari ni siku ya 11 hadi siku ya 17
-siku zingine zote zilizobaki ni salama.
NB;siku zinahesabiwa kwaanzia hedhi ilipoanza hivyo tunaposema siku ya 11 tunamaanisha siku ya 11 baada ya hesdhi kuanza,yani siku hedhi ikianza ndio inahesabiwa ni day one.
Mkuu swali la kwanza ( Pre-mature ejaculation) ukiwa na hilo tatizo unakuwa huwezi kulifurahia starehe yako ya ngono utakuwa wewe unamalizamapema kumwaga wakati mpenzi wako hajafika kileleni itakuwa wewe umemaliza lakini mwenzi wako hajamaliza kufika kileleni matokeo yake ndani ya ndoa ni ugomvi mtupu.wakuu nimewaelewa vizur mpaka nimefurah! Nashukuru kama kuna hajaelewa basi naomba asome vizuri!
Ok mim nina maswali ma 2 kama ntaeleweka
1.kama mtu anatatzo pre-mature ejaculation inakuwaje?
2. Nimekuwa nikimchunguza wife wangu kwa mda kidogo wakati wa maandaliz nikiingiza kidole kunako kwa uke ndani kabisa mbona sioni tundu la uzazi?
Sasa hizo mbegu zinaingiaje au ni kwa wote huwa wapo hivi au ni mim sio kwamba sjawah kuwa na madem kabla ya wife wangu mpendwa bali sikuwa na tension ya kufatilia hii kitu kule tulikuwa tunatafuta raha tu!!
na kuongezea alishapima autra-sound na tukakuta hamna tatzo
msaada kwa hili plz
naongezea na huyu MziziMkavu na wengine
Leo niko customer service najibu timely,
Kuhusu premature ejaculation mara nyingi inahesabiwa ni pale ambapo mtu unakojoa ndani ya dakika tatu za mwanzo baada ya kuanza tendo. Mara nyingi ni saikolojia tu ndio inasababisha hivyo na mara nyingi sio ya kudumu kama mtu ana tatizo hilo ni vema akaijulisha akili yake kwamba anatakiwa kulidhibiti tatizo hilo. Akishindwa aanze kwa kutumia desinsetizers kama lignocane (stud) au condoms huwa zinasaidia kwa wale ambao vichwa vya mboo zao ni sensitive sana.
Kuhusu tundu la kupitishia mbegu, kama mkeo ana kizazi basi tundu lipo sema sio lazima liwe moja kwa moja inatofautiana kutoka mtu mmoja kwenda mwingine. Usiende kulitafuta bwana kwani unalihitaji la nini aiseee?
Mkuu swali la kwanza ( Pre-mature ejaculation) ukiwa na hilo tatizo unakuwa huwezi kulifurahia starehe yako ya ngono utakuwa wewe unamalizamapema kumwaga wakati mpenzi wako hajafika kileleni itakuwa wewe umemaliza lakini mwenzi wako hajamaliza kufika kileleni matokeo yake ndani ya ndoa ni ugomvi mtupu.
Na kuhusu swali lako la pili inakuwaje wewe umchunguze tundu yake Mke wako na umeona kuwa hana tundu kivipi? una wasiwasi hataweza kushika mimba? Unanishangaza hapo Je mke wako hajazaa bado?
mkuu samahan naomba urudie kidogo hapo uniacha
unamaana kuwa m/mke ana siku za kupata mimba mara 2??
ok ngoja niiweke hivi..
siku ambayo ina probability kubwa yakupata mimba ni siku 14 kabla ya mzunguko ujao;hivyo kama mkeo ana mzunguko wa siku 28 inakua hivi;
-tufanye 28 toa 14 inakua 14 (28-14=14) hivyo siku ya 14 baada ya hedhi kuanza ndio siku hatari zaidi.
-yai(ovum) huwa lina survive masaa kadhaa (36) ambayo ni kama siku moja na nusu hivyo siku ya 15,siku ya 16 na nusu pia ni hatari,ila to be in a safe side tuaproximate kwamba siku ya 15,16 na 17 pia ni hatari.
-mwili wa binadamu hauna formula hivyo yaweza tokea yai likawahi kidogo au likachelewa kidogo hivyo tufanye kwamba siku ya 11,12 na 13 pia ni hatari.
Conclusion:
-siku hatari ni siku ya 11 hadi siku ya 17
-siku zingine zote zilizobaki ni salama.
NB;siku zinahesabiwa kwaanzia hedhi ilipoanza hivyo tunaposema siku ya 11 tunamaanisha siku ya 11 baada ya hesdhi kuanza,yani siku hedhi ikianza ndio inahesabiwa ni day one.
Siku zote ni salama kasoro siku ya 14 toka hedhi inaitwa fertile day or at risk day hata hivyo chukua tahadhari siku tatu nyuma na siku tatu mbele kwa ni sperm zinakaa hadi 72hrs kama pH medium za mwanamke na mwanamme zinalinga.
Asante sana ndugu kwa shule yako nzuri. Kwa hyo una maana kuwa kwa mwezi unaofuata hataingia tarehe 08 kama mwezi huu bali ataanza kati ya tar 05 na 06?
Mzunguko wake wa mwezi mzima ni siku ngapi...na sio siko ammbazo anakuwa menstrual
1. Maelezo ya awali hayamaanishi kuwa binti anaweza kupata mimba mara mbili ila,
2. Je wajuwa? Binti anaweza kupata mimba mara mbili ndani ya mwezi mmoja au miwili pengine hata mitatu tangu mimba ya kwanza iingie. "HAPA HUZALIWA MAPACHA WASIOFANANA" Wanaoweza kuzidiana umri kati ya nusu saa hadi miezi mitatu hivi!
Mzunguko wake wa mwezi mzima ni siku ngapi...na sio siko ammbazo anakuwa menstrual
Yaani tarehe ya kwanza kuona mwezi jana ni tarehe ngapi mpaka tarehe ya mwezi huu ni tarehe ngapi? ili tuweze kuhesabu kuwa ana mzunguko wa siku ngapi ndani ya mwezi wake,sijui umenielewa gody
Tunachukua tarehe hatuko certain sana na masaa ila siku ina masaa 24.
no sory nilimaanisha kuwa mwanamke anaweza kuingia ktk Ovulation mara mbili kwa mwezi,