Hauna kweli ulicho hata fikiria kabla ungependa kusoma au kuwa na profession, freelance, self-employed n.k mbeleni? Yaani hata kuwa na kama mawili matatu yanayokuvutia, then utumie majibu yako kuona sasa inakuwaje?
Naandika haya ujue ili usijisukume tu kusoma ambacho hakikuvutii wala hujui unataka kuwaje mbeleni. Ila bado unaweza kuxhagua lolote kama hujawahi kuvutiwa kabla.
Kuna mdau kakushauri uhasibu pia..na kukueleza sababu.
Kiaina ni kama majibu yako hukuyafurahia, ila utakuwa umejifunza mengi na hautorudia.