Naomba msaada juu ya hili

Joined
Jan 1, 2014
Posts
5
Reaction score
1
bodi ya mikopo ya vyuo vikuu leo imetoa majina wa wanafunzi ambao waliomba mkopo lkn kukawa na makosa yaliyojitokeza wakati wanaomba na hivyo kutoa muda wa siku kadhaa ili kufanya marekebisho.

kwa upande wangu nimekuta wameniambia hakuna guarantor ID , naombeni msaada wenu namna ya kurekebisha hili kosa .
 
Hapo unatoa copy ID ya guarantor then unaituma kwa EMS kama mwanzo fungua ile taarifa ya heslb usome vizuri.
 
Toa Copy Ya Hiyo ID Then Nenda EMS Katume Kama Mwanzo Juu Ya Baasha Yako Andika Jina Lako Na Namba Ya Mtihani Ya Form 4 Pamoja Na Mwaka Uliomaliza Kisha Unatuma Kwa EMS Kama Mwanzo
Asante.
 
Usisahau Ku"certify" hiyo copy ya kitambulisho. Pia nadhani kwa mujibu wa maelezo yao unaambatanisha na barua kisha unatuma kwa EMS Kama ulivyoelezwa na wachangiaji waliotangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…