kilukunyenge
Member
- Dec 21, 2016
- 20
- 16
ni PM labda naweza kusaidia wazo kidogohabari wana jamiiforum mimi ni kijana wa miak 22 ninasumbuliwa na uti sugu mwaka wa 3 sasa nimeshatumia anti biotics nyingi lakini sijapona tatizo limesambaa sasa nasikia maumivu makali ya uti wa mgongo na wakati mwingine inapelekea maumivu makali ya shingo na mpaka na mpaka kichwani naisi kama akili inataka kuchanganyikiwa hivi na joints zote zinauma napoteza sana kumbukumbu nimetumia cipro zimedunda niliambiwa nitumie azromycin dozi ya siku tano nayo imedunda nimechomwa sindano ya panadulu nayo imedunda ila nateseka sana ute ute mweupe unatoka kwenye uume wangu hospital niliambiwa nina UTI naomba msaada nimezidiwa na ugonjwa naona utanifanya niwe chizi unaendelea nisaidieni jamani
Andika dawa hapa usaidie wengine banani PM labda naweza kusaidia wazo kidogo
Mkuu.@kilukunyenge pole kwa hayo maradhi yako ya UTI sugu mimi ninaweza kukutibia kwa dawa zangu za asili na ukapona kwa siku 30 tu ukihitaji dawa toka kwangu nitafute kwa wakati wako.habari wana jamiiforum
mimi ni kijana wa miak 22 ninasumbuliwa na uti sugu mwaka wa 3 sasa nimeshatumia anti biotics nyingi lakini sijapona
Tatizo limesambaa sasa nasikia maumivu makali ya uti wa mgongo na wakati mwingine inapelekea maumivu makali ya shingo na mpaka kichwani nahisi kama akili inataka kuchanganyikiwa hivi na joints zote zinauma napoteza sana kumbukumbu
Nimetumia cipro zimedunda niliambiwa nitumie azromycin dozi ya siku tano nayo imedunda nimechomwa sindano ya panadulu nayo imedunda ila nateseka sana ute ute mweupe unatoka kwenye uume wangu hospital niliambiwa nina UTI
Naomba msaada nimezidiwa na ugonjwa naona utanifanya niwe chizi unaendelea nisaidieni jamani
Mkuu kama upo dar siku ya jumamosi nenda pale kivulini karibu na mlimani city kuna hospital moja inaitwa megra specialists clinic. Siku za jumamosi kuna specialist flani hivi wa magonjwa hayo ambae anatibu wengi magonjwa sugu kama wako. Utapona mkuu, wengi nawafahamu wameponea palehabari wana jamiiforum
mimi ni kijana wa miak 22 ninasumbuliwa na uti sugu mwaka wa 3 sasa nimeshatumia anti biotics nyingi lakini sijapona
Tatizo limesambaa sasa nasikia maumivu makali ya uti wa mgongo na wakati mwingine inapelekea maumivu makali ya shingo na mpaka kichwani nahisi kama akili inataka kuchanganyikiwa hivi na joints zote zinauma napoteza sana kumbukumbu
Nimetumia cipro zimedunda niliambiwa nitumie azromycin dozi ya siku tano nayo imedunda nimechomwa sindano ya panadulu nayo imedunda ila nateseka sana ute ute mweupe unatoka kwenye uume wangu hospital niliambiwa nina UTI
Naomba msaada nimezidiwa na ugonjwa naona utanifanya niwe chizi unaendelea nisaidieni jamani
mkuu hapo azthronizine vidonge vinne havitaniuwa nikimeza zote mara mojaPole
Nunua secnidazole dozi (vidonge 6)
azthromizine dozi (vidonge 12)[ hiyo hiyo unayosema ilidunda]
zitumie hivi:
asubuhi mapema meza secnidazole 2 maji mengi
jioni azthromizine 4 maji mengi
-tumezowea ukitibiwa minyoo ndiyo unaambiwa usile upesi
sasa na hii tiba pia
-kula saa moja baada na kabla ya dawa
-usisex
baada ya siku tano uni pm maendeleo yako ki afya ili nikushauri kabla ya siku ya saba ya kupima.
ikidunda hiyo itakuwa ajabu japo ni fupi.
watu kama hao ndo matapeli kwann iwe PM isiwe hapa hapaAnd
Andika dawa hapa usaidie wengine bana
dr. mzizi mkavu naomba nisaidie namba yako ya simu ya kaxini ili tuongeeMkuu.@kilukunyenge pole kwa hayo maradhi yako ya UTI sugu mimi ninaweza kukutibia kwa dawa zangu za asili na ukapona kwa siku 30 tu ukihitaji dawa toka kwangu nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
mkuu hapo azthronizine vidonge vinne havitaniuwa nikimeza zote mara moja
Ukiweza ni add kwenye What's App tupate ku chat live au waweza pia kunpigia kw anamba yangu hii hapa +905344508169dr. mzizi mkavu naomba nisaidie namba yako ya simu ya kaxini ili tuongee
namba ya amerika yaUkiweza ni add kwenye What's App tupate ku chat live au waweza pia kunpigia kw anamba yangu hii hapa +905344508169
Namba ya ughaibuni sio Amerika ya kaskazini...............namba ya amerika yakaskazini hiyo!