Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Sasa zaidi ya kuweka mapicha ya satellite hayo ungesema lina ukubwa gani na linauzwa bei gani
Mwambie kurudi kijijini ni balaa zaidi. Afadhali zimwi likujualo (abaki alipo sasa-Dar) kuliko zimwi jipya (kurudi kijijini -Malangali) maana changamoto za kijijini ni balaa.Moderators na wengine tafadhali naombeni msaada jamani.
Kuna mtu wa karibu na mimi anahama jiji la Dar es Salaam kurudi kwao kutokana na umri.
Anataka kuuza eneo alilokuwa anamiliki ili kumwezesha kuanza maisha mapya nyumbani.
Tafadhali tusaidieni jamani kumpata mnunuzi wa eneo hili.
Atayewezesha kuuzwa kwa eneo hili atapewa kilemba fulani cha juu kwa maana ya fedha ya asante.
Picha ya eneo ipo katika file attachment hapa. Ipo salama ifungue tu usiogope VIRUS.
Ukitaka mawasiliano ya karibu nitupie PM hapa JF.
Asanteni sana Mods kuruhusu ombi hili kubakia hapa...View attachment 87617
Mwambie kurudi kijijini ni balaa zaidi. Afadhali zimwi likujualo (abaki alipo sasa-Dar) kuliko zimwi jipya (kurudi kijijini -Malangali) maana changamoto za kijijini ni balaa.
Angekuambia bei ingekua msaada sanaEneo bado lipo wapendwa.
Tafadhali Click attachment kuliona.
Mods wetu nawashukuru sana kwa msaada huu...
Angekuambia bei ingekua msaada sana
I wouldnt sale it!! kwa nini asijenge kijumba apangishe atakuwa anapata vijisenti kila mwezi!
Ha ha ha ha! Hii hapa imekaa vizuri: If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,...
if it doesn't.......hunt it down and kill it!:fencing: (hapa umechakachua kiduuchu, Amoeba; msemo huu huishia hivi...If it doesn't come back it was never meant to be yours!")
Mwenzio kaamua kuset plot yake free! ha ha ha ha.... unaionaje hiyo mkuu Amoeba....
Kweli Mkuu wangu, hapo umenena.Asante Mkuu Shark. Tatizo la kutaja bei ni kwamba unaweza kumnyima mtu hamu ya kufika pale kuona. Unazima hamu ya kuona tuonavyo sisi. Ndo hilo hasa. We nenda tu pale. mtaelewana tu. Unaweza ukute baada ya kupaona ukashawishika hata kukopa mahali ujazie palipopelea. Au unaonaje hilo mkuu Shark?
lazima kuwe na bei ya kuanzia kulingana na market value....ndio namna ya kufanya biashara...kwa namna hii haji mtu ng'oAsante Mkuu Shark. Tatizo la kutaja bei ni kwamba unaweza kumnyima mtu hamu ya kufika pale kuona. Unazima hamu ya kuona tuonavyo sisi. Ndo hilo hasa. We nenda tu pale. mtaelewana tu. Unaweza ukute baada ya kupaona ukashawishika hata kukopa mahali ujazie palipopelea. Au unaonaje hilo mkuu Shark?
lazima kuwe na bei ya kuanzia kulingana na market value....ndio namna ya kufanya biashara...kwa namna hii haji mtu ng'o
Kweli Mkuu wangu, hapo umenena.
Bei inaweza ikakimbiza wateja kumbe ni pazuri.
Sida inakuja sasa kila mtu ana range yake ya bei ambayo anatafutia viwanja.
Mwengine anaweza akasema "Mi nkipata kiwanja cha 4Mil nanunua,
Mwengine aka-set preference kwenye kiwanja cha 10Mil, mwengine 20Mil, wapo mpaka wa 100Mil kwa ajili ya kiwanja tu.
Sasa hapa kukiwa hakuna bei basi hawa wote watajisumbua kuja kumbe sio wote wanaokihitaji
Zamazamani, Lait noir, georgeallen, Shark, popular, Amoeba,
He, jamani, mbona kimya tena... Mliomba bei, bei nimewapa naona jiiii. Hakuna PM, hakuna anayeomba kupunguziwa.
Hata jamaa na marafiki hakuna kabisa uko? Kiwanja bado kipo sokoni jamani.
Asante kwa ushauriNo offense Mkuu but Sio hao tu! hata sisi wengine imebidi kutafakari ku deal nawe Mkuu. bei unataja kwa uwoga kama tunacheza kidali po π picha unatuwekea satelite. piga tu picha ya nyumba yenyewe kisha weka bei. na watu wakiamua kuja ina maana wana imani maelewano yatakuwepo. kama mtu hakuamua kuja ina maana hakuna kitakacho mshawishi . Kila la kheri ila jaribu kufunguka tu. acha janja ya nyani. kuna watu humu cant be fooled. they deal with over hundreds of people of that type every week. ONE!! can never be a problem π nashauri tu Mkuu, usione nakandamiza mambo.