Naomba msaada AUTHENTICATION ERROR kwenye Gmail.

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
61,493
Reaction score
74,222
Salam wanabodi wa jukwaa la Teknolojia.


Tafadhali kwa mtu yoyote anaweza kujua nifanye nini ili akaunti yangu ya gmail isiniletee error niliyoitaja hapo juu.

Mpaka sasa naweza kutuma mail kama kawaida
lakini kwenye screen ya simu kuna hii kitu
ninapojiunga na internet huja

Sign in error

You entered the wrong password or your account has changed.
Please re-enter your password

Username
...............gmail.com

Password


Baada ya ujumbe huo kila ninapoweka password
inanilazimisha tu niweke password ht mara 10
huo ujumbe hauondoki ili kumaanisha
pasword iliyotakiwa nimeiweka tayari


Natumia samsung galaxy GT S6102

Mwenye kujua ufumbuzi
Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…