masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,179
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele
natumia s5 samsung yenye android
Free Internet Radio - Discover Artists Online Music - HulkShare naitumiaga hii kudownload za bongo, ngoja wengine wakitoka Dodoma watakuja kukujuza.
nataka audio........yaani nataka app ambayo napaata nyimbo mchanganyimoMkuu hebu fafanua kidogo nyimbo ktk mfumo gani video au mp3.
Jaribu App kama mziiki,hussbaby, pia waweza dawnload tube mate ambayo itakuwezesha kudawnload mp3 and video kutoka site kama youtube nk.
Au web kama hulkshare,waptrick, mkito nk...
nataka audio........yaani nataka app ambayo napaata nyimbo mchanganyimo
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele
natumia s5 samsung yenye android
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele
natumia s5 samsung yenye android
usijali nashukuru sana mkuuGoogle.com is the best..... Ukitaka app utasumbuka. Cha kukushauri download shazam au musixmatch. Wakati unasikia nyimbo inaimba kuna option ya kuisilizisha simu yako hiyo nyimbo kupitia apps izo chagua moja wapo (i prefer musixmatch coz ina feature nyingine nzuri) then ita kupa details... Ukishajua details paap ingia google.... We search. Then download.... Easy. Sana. Kama unapenda za bongo we ingia djmwanga.com jamaa anaeka latest tracks. (Ila utakumbana na self shout out.. zake ktk artworks za nyimbo) kama unaona kufanya hayo yote ni tabu we tulia tu.
Hiyo ndo options zinazozitumiaga. Also kuna alternative kama una pesa unataka za bongo....with no ads ingia mkito.com au download za free then trim it...(ila hii itakuwa njia ndefu kwako coz unapenda vitu simple)
Vilevile ninatumia OGyoutube hii ni youtube app kama ya playstore (ila haipo playstore) ina feature ya ku download all formats. Unavyopenda wewe aidha mp3,mp4,hd,3gp so kama kuna nyimbo umeiona youtube hapo hapo unaidownload kwa format unayoitaka.
Samahani kwa maelezo marefu ila almost hizo ndo njia ninazozitumia binafsi.
asNte sana mkuuPlay store application zao zina patikana pia tooxclusive n notjustok nyimbo zote za naija unazipata
nadhani kitangomawadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele
natumia s5 samsung yenye android