Msaada ndugu zanguni tafadhali
Habari za mchana,
Naomba moja kwa moja niende kwenye tatizo,nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana 2017,na ufaulu wake ulikuwa hivi
Kiswahili C
Biology C
geography D
english D
civics D
chemistry D
mathematics F
na history F
Physics hajafanya
Je? Anaweza pata chuo kizuri na kozi nzuri
ni kozi gani itamfaa sambamba na ufaulu wake?
Nawasilisha wakuu, naombeni msaada wenu.