iron woman Senior Member Apr 22, 2013 147 19 Nov 25, 2016 #1 jamani wadau naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau zile zinakuwa na chumvi zinatengenezwa kwa ngano nadhani na pia huwa zinauzwa mtaani
jamani wadau naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau zile zinakuwa na chumvi zinatengenezwa kwa ngano nadhani na pia huwa zinauzwa mtaani
iron woman Senior Member Apr 22, 2013 147 19 Nov 29, 2016 Thread starter #3 farkhina said: Ndio zipi izo? Click to expand... ninachojua zinatengenezwa kwa ngano ukiweka mdomoni inakuwa na ladha ya chapati ila yenyewe inakuwa imewekwa na viungo zaidi. nadhani huwa wakishakanda wanasukuma ile manda inakuwa nyembamba then wanaweka katika shape wanayoitaka.
farkhina said: Ndio zipi izo? Click to expand... ninachojua zinatengenezwa kwa ngano ukiweka mdomoni inakuwa na ladha ya chapati ila yenyewe inakuwa imewekwa na viungo zaidi. nadhani huwa wakishakanda wanasukuma ile manda inakuwa nyembamba then wanaweka katika shape wanayoitaka.