Nimekuwa mtu wa kukata tamaa na mawazo kila siku tangu nimeanza chuo sijawahi kufurahi ni kusoma na msongo wa mawazo!
Kila siku iendayo kwa Mungu sijawahi kufurahia ninachokisoma naombeni mnipe moyo au nguvu nikamalizie huu mwaka wa mwisho.
Matokeo yangu naweka hapa chini ya mwaka wa kwanza na wa pili semista 4 ya chini mtahitaji kuzoom!
View attachment 1732491View attachment 1732492