Naomba mnikumbushe

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
311
Reaction score
96
Kuna tamthilia moja ya wakenya ilionyeshwa itv miaka ya nyuma Prezzo yupo inaitwaje wakuu
 
duh ilikua kari balaa nakumbuka ilikua j2 mida y saa moja hv kabla taarifa ya habar kuna scene moja nakumbuka mama mjamzito kashikiria uskan wa ndege baada y ruban kufa hewan daah wakenya walituotea pale hku kwetu tunapgana mabusu tu mwanzo mwisho

all in all jina silikumbuki but ni ilikua tamthilia nzur sana wakat ule
 
yaani ni nzuri sana watanzania sijui tunajua nn kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…