naomba maoni yako,,usisahau kuongelea upande wa utamaduni wetu juu ya hili.


jamani huyu mchumba wake tu ndio balaa, maana ni kama baba yake
 
Yaani hapo bado hajatembea na mkoba (kama wafanyavyo wanawake wa mijini)!!!! Yupo bomba, Mr. Paul ana haki ya kuchunga mali zake
 
Kwanza inabdi hyo bibie wa kimasai wamloeke kwenye jiki masaa. Ila anatisha kwa urembo wake wa asili bila make up wala mkorogo.
.

This is an unfair comment (treatment to human kind), wengi wetu twatoka vijijini and doesn't mean thst sisi ni wachafu au contaminated to the extent of being dipped in a disinfectant. I hate this.
 
Hawa VISURA ni watoto wa kiume au wa kike? To me they all look like male-models! [disarmed]!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…