Naomba maelezo jinsi ya ku root tecno w3

Habari.
Mwenye kuelewa jinsi ya kuroot w3.nahitaji kuroot, kwani ni simu ya kazi, kuna baadhi ya vitu navihitaji

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaweza tumia pc au bila pc cha kufanya download app moja inaitwa kingoroot.

Kama unataka ku root katika kifaa husika bila pc cha kufanya download app hii.

KingoRoot APK, the Best One-Click Android Root app for free.

Ila hakikisha battery at least ipo 50% or above.
Simu iwe imewaka.
Internet connection wi-fi is prefered.
Iwezeshe simu ku-install from uknown sources.

Then install na subiri i root its one click root no complication.

Let me know if its helpful
 
Samahani lakini hivi ku root ndio nini na nini sababu hasa ya mtu kuroot simu yake na faida gani na nini hasara zake. Naombeni kujua
 
Samahani lakini hivi ku root ndio nini na nini sababu hasa ya mtu kuroot simu yake na faida gani na nini hasara zake. Naombeni kujua
Ku root it means kutoa security ya simu na unakuwa super user hivyo it means rooting inaondoa vikwazo ambavyo tayari vimewekwa na watengenezaji wa kifaa husika either katika software or hardware kwa hiyo unakuwa free to do anything you need cause security imeondolewa.
Mfano mzuri simu yako ya android ukijaribu kufuta apps fulani ambazo zimekuja na simu inakataa lakini ikiwa rooted inafuta easily that is what am talking about.
Hivyo utaitumia simu yako unavyotaka wewe bila vikwazo kitu ambacho hakiwezekani kama simu haijawa rooted.
Kuna baadhi ya apps zinafanya kazi kwenye rooted devices tu.
Hasara zake.
Inaweza kuwa vyepesi kupata viruses.
Inaweza pelekea perfomance kuwa ndogo not all the time.
Inaondoa warranty ya simu.

Faida.

Unaweza run apps mbali mbali ambazo ni maalumu.
Inasaidia kuacha nafasi katika simu.
Unaweza kubadilisha Rom(firmware) unayoihitaji au OS
 
Hii. Ilikataa kuroot. Sina PC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…