Kwa wale wenye utaalam wa kutafsiri ndoto. Mwanamke niliyezaa naye huwa mara kwa mara naota :
Anagawa penzi kwa kila mtu bila woga, na kuona ni kitu cha kawaida kabisa. Je, hii inaweza kuwa ni ukweli KTK uhalisia?
Hapana ndo maana alikugawia wewe tu hadi ukazaa naye ,vinginevyo usingemkuta hivyo ungekuta wengine nao wamemzalisha , ndoto hiyo inakujia kwe vile unatamani uwe naye ila unasitasita ,
Fanya maamuzi ili mwanao asijekuwa na dhana kuwa ulimtupa