Wanafiki wafunge midomo, lyrics hizi hapo kaka yangu.
1. siku ya furaha, siku ya uzima aliyozaliwa Yesu.
:: Tulipotea Yesu akaja.
furahini, furahini
wakristo.
2. siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
::Yesu ashuka, atuokoe.
Furahini, Furahini wakristo.
3. Siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
::Malaika wote
wamsifu Mungu.
furahini, furahini Wakristo.
Lyimo kazi kwako, ushauri niliokupa juu tafadhali zingatia.
THREAD CLOSED.